WALIOGOMA KUHAMA NGORONGORO WAJUTA

 Ukame na njaa inayoendelea kutikisa mkoa wa Arusha na baadhi ya maeno nchini umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa huyari kutoka Bonde la Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomero katika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wajuta.

mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, RAYMOND MANGWALA alisema kutokana na ukame wa muda mrefu idadi ya mifugo inayokufa Wilayani humo imeongezeka ikilinganishwa na kipindi kilichopita. Pia alisema suluhisho la wafugaji wa Ngorongoro ni kwenda katika maeneo yenye miundombini imara ya malisho na maji yaliyojengwa na Serikali Msomera Wilaya Handeni.
katibu Tawala wa Wilaya ya Handeni MASHAKA MGETA Alisema kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo ya malishio kwa wafugaji wa Msomera na Handeni kwa ujumla yameongezeka na kufanya wafugaji kusahu kupoteza mifugo yao kutokna na ukosefu wa malisho na maji.
Pia Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Msomera kata ya misima, MARTIN OLEIKAYO aliishukuru serikali kwa kuwajengea wafugaji miundo mbinu rafiki.


irkeepus-community-maasai-md.jpg

Comments

Popular posts from this blog

Dkt Samia amaliza kero ya maji Njombe

ZANZIBAR YANG'AA UTALII KIMATAIFA.

Historia ya morocco